BRAND NEW JOINT: KONA KING FT SLIMSAL - NAKOBANGATE (OFFICIAL AUDIO)

Anafahamika kama Kona King #SautiMbaya wa CentralZone na hapa anakuletea mojawapo kati ya ladha ambazo zinapatikana katika kanda mseto yake ambayo inakwenda jina la #KingSuleyman. Kanda mseto (mixtape) ya Kona King inapatikana mkito.com
Katika ngoma #Nakobangate amemshirikisha Slimsal, mmojawapo kati ya wasanii wanaofany vizuri kwa zaidi ya miaka 3 sasa katika huu muziki wa Bongo katika miondoko ya Hiphop..! Take your time and listen to the song

No comments

Powered by Blogger.