BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUSHINDWA KURUDISHA PENZI, WEMA SEPETU ATARAJIA KUOLEWA HIVI KARIBUNI

Tanzanian sweetheart almaarufu kama WEMA SEPETU ambaye alikuwa Miss TZ 2006 na ambaye kwa sasa ni CEO wa kampuni ya Endless Fame anatarajia kuolewa hivi karibuni na
model anaekuja kwa spidi ya 4G CALISAH ABDULHAMID. Madame Wema amedhihirisha hayo kupitia account yake ya instagram ambapo ameonyesha picha yenye ujumbe wa kuiba jina la mwisho la mume mtarajiwa. Ubuyu siku zote haunogi bila picha
Kwa picha zaidi za Wema Sepetu na shemela Calisah zidere kwa danta..

No comments

Powered by Blogger.