WILLY PAUL X MEDDY - UUH MAMA (OFFICIAL VIDEO) | DOWNLOAD MP3 December 05, 2019 The wait is over and Uhh Mama music video by Willy Paul and Meddy is out now. Watch Uhh mama video by Willy paul and Meddy below!! ...
HERI YA MWAKA MPYA | HAPPY NEW YEAR 2019 January 02, 2019 Asante kwa kuwa nasi tangu mwanzo wa hii safari. BlackMutu Blog inapenda kukutakia heri ya mwaka mpya 2019 wewe unayesoma hapa. Mungu...
RAP NATION FT. G.O.G CLICK, JOHN MP & P CHRONIC - TUNABANG | DOWNLOAD MP3 October 06, 2017 It's another hit song kutoka kwa Rap Nation wakishirikiana na G.O.G Click hapa namzungumzia Creyz Beez, Crown Jay na Prince Touz wak...
VESTA - MBELE KWA MBELE | DOWNLOAD MP3 September 11, 2017 Baada ya kutamba kwa ngoma yake inayofahamika kwa jina la ' Hafai ' msanii Vesta leo hii ameachia ngoma yake mpya inayokwenda k...
MSANII JACO BEATZ ATANGAZA RASMI KUACHANA NA MUZIKI May 22, 2017 Msanii kutoka mkoani Dodoma anayefahamika kwa jina la Jaco Beatz kupitia mtandao wa Facebook alitangaza rasmi kuacha kujishughulisha na ...
MATATIZO YA KIMTANDAO YASABABISHA ALBUM YA DODOMA - BEACH DUME KUCHELEWA KUTOKA, KUACHIWA RASMI IJUMAA TAREHE 29/04 April 27, 2016 Wakati mashabiki wakiendelea kuuliza kulikoni album ya Dodoma - Beach Dume ambayo ilitarajiwa kutoka tarehe 22 / 04 kushindwa kufanya hiv...
EXCLUSIVE: DODOMA - BEACH DUME ALBUM KUACHIWA TAREHE 22 / 04 April 17, 2016 Ikiwa zimebaki siku tano kabla ya online album inayokwenda kwa jina la Dodoma #BeachDume kuachiwa mtandaoni, wasanii bado wana nafasi ya ...
CREYZ BEEZ FT UNCREAKABLE - LEAVE MY LIFE | DOWNLOAD MP3 | BLACKMUTU BLOG April 02, 2016 Hi ni nyingine tena kutoka kwa Creyz Beez wa Akonshaz Music ikifahamika kwa jina la "Leave my life" akiwa kamshirikisha Uncreak...
UPCOMING ALBUM: DODOMA - BEACH DUME VOL. 2 (ONLINE ALBUM) | BLACKMUTU BLOG March 20, 2016 Baada ya kufanya vizuri kwa online album ambayo ilitoka mwaka jana mwezi wa nne tarehe 22, ikifahamika kwa jina la DomTown Stand Up Vol. 1 ...
DOWNLOAD: GIFTED SON FT. MONI CENTRO ZONE - MR SHAOLIN March 05, 2016 Ni mmoja kati ya wasanii kutoka mkoani Dodoma ambao kwa sasa wanafanya vema katika huu muziki pendwa zaidi nchini Tanzania na Afrika nzima ...
NEW VIDEO: YOUNG 60 - WACHUO (OFFICIAL MUSIC VIDEO) August 20, 2015 Mchizi anakwenda kwa jina la Young 60 na hapa yupo kwa kichupa cha ngoma yake "Wachuo" dizain kama Moe Kaaliamesimamia producti...
NEW VIDEO: DARK MASTER - MADUSKO (OFFICIAL MUSIC VIDEO) August 20, 2015 Hapa mwanachemba Dark Master anaendeleza kuonyesha uwepo wake kwa game ya Music baada ya kutokwa na Mangwea na pia Mez B. Ngoma inaitwa ...
DOMTOWN STAND UP ALBUM Vol. 1 IMEACHIWA, FANYA KUISIKILIZA AU KUIDOWNLOAD BUREE HAPA April 22, 2015 Ile Album ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu na wadau wa #MuzikiMuzuri imeachiwa tarehe 22 April kwa mtandao ikijumuisha nyimbo 33 kuto...
#DOMTOWNSTANDUPALBUM KUACHIWA TAREHE 22 APRIL 2015 April 11, 2015 Ikiwa imebaki wiki moja kabla ya ukusanyaji wa nyimbo za wasanii kutoka Dodoma ambao kwa pamoja wataunda album ambayo itakuwa ikipatikanik...