MWILI WA SIR ANDY CHANDE WA FREEMASONS KUCHOMWA MOTO

Sir Andy Chande (kushoto) akiwa na rais mstaafu wa Tanzania, Dr Jakaya Kikwete
Mazishi ya mkuu Sir Andy chande (88 years) aliyefariki huko Nairobi Kenya yanatarajiwa kufanyika Jumanne ijayo kwa mwili wake kuchomwa moto mpaka kuteketea wote (cremation). Wageni zaidi ya 300 kutoka nje ya nchi wakiongozwa na Freemason mkuu

watahudhuria mazishi yatayofanyika hapa Dar. Booking za guest watazofikia wageni mashughuli wa freemason zinaendelea kufanyika kwa kasi ya ajabu hapa jiji zina la dsm.

Kumbuka Sir Andy chande alikuwa kiongozi wa Freemason, mmiliki wa shule ya shaaban Robert, Ashawahi kuwa mkuu wa makumbusho ya Taifa (mkabala na IFM).



No comments

Powered by Blogger.