MASTAA WA BONGO WANOONGOZA KUPIGA PICHA ZA UTUPU (+18)
SIKU HIZI WANAPIGANA PICHA CHAFU MAKUSUDI KABISAAAAAA!!!!!!....UKIWAULIZA WATAKWAMBIA " NILIKUWA NA UGOMVI NA MPENZI WANGU"........AU " NILIPIGWA NIKIWA SIJITAMBUI".......AU "NILIKUWA NIMELEWA SANA"........
HIZI ZOTE NI SABABU ZA UONGO........ KWA SABABU KAMA ULIKUWA NA UGOMVI NA MPENZI WAKO NA AKAKUPIGA PICHA CHAFU, JE, ULICHUKUA HATUA GANI DHIDI YAKE???......
KWA NINI UTULAUMU SISI WAKATI HATUKUKUPIGA HIZO PICHA ZAKO? SISI HATUKUKUNYWESHA HIZO POMBE........
NI KWELI, KILA MTU ANA HAKI YA KUFANYA CHOCHOTE ....LAKINI YOTE YANAFANYIKA KWA MUJIBU WA SHERIA ZA NCHI HUSIKA......
CHANGUDOA AKIJIUZA, POLISI WATAMKAMATA NA KUMFIKISHA MAHAKAMANI, IWAJE WEWE UNAYEPIGWA AU KUPIGA PICHA ZA NUSU UTUPU??
WAANDISHI HAWAMDHALILISHI MTU YEYOTE, BALI YEYE NDIYE ANAYEJIDHALILISHA......
USHAURI: MPENZI WAKO AKIKUPIGA PICHA CHAFU BILA WEWE KUJUA, THEN ZIKASAMBAA MITANDAONI, KAMSHITAKI YEYE .......HII ITASAIDIA KUIJULISHA JAMII KUWA HUJATENDEWA HAKI NA KWAMBA ULIPIGWA BILA RIDHAA YAKO... KAMA HAIKUWA RIDHAA YAKE JE AMECHUKUA HATUA GANI KWA HUYO MPENZI WAKE ALIYEMPIGA? KAMA HAKUMCHUKULIA HATUA YOYOTE KISHERIA, BASI ALIDHAMIRIA
NA HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA UTUPU / UCH* ZA MASTAA WA BONGO (+18)
Leave a Comment