HII NDIYO NOTI YA DOLLAR TRILLION 100

Wengi ambao hamkuwahi kuiona au kufahamu kama kuna nchi duniani ina noti ya trillioni 100, hii hapa imetoka kule kwa Mugabe (Zimbabwean dollar),
ingekua ni US dollar hii noti basi ingekua kubwa kuliko jumla GDP yetu tangia tupate uhuru mpaka sasa hivi.


Thamani ya hii pesa ipo hivi.
100 trillion zimbabwean dollar = 0.4 US dollar na kwa hela ya kwetu (Tanzania) ni sawa na Tsh 850. Kwa io ukitoka Zimbabwe na trillioni 500 ukifika Bongo kubadilisha utapewa Tsh 4250 tuu!! Hii ni kabla ya mwaka 2007
Update:
Zimbabwe haitumii tena Zimbabwean Dollar, wameamua ku adopt US dollar (USD) baada ya kuona haiwezi tena ku control hyper-inflation ya pesa yake (ZIM Dollar).


No comments

Powered by Blogger.