BRAND NEW JOINT: CENTRAL ZONE FT. BEN POL - MTOTO WA DOM

It's another one kutoka kwa Central Zone hapa nikiwa namuongelea Toxic, Moni na Kona King kwa pamoja ambapo leo hii kupitia XXL ya clouds fm wameachia ngoma inayokwenda kwa jina la "Mtoto wa Dom" akiwa kashirikishwa 'Baba Sophia' Ben Pol kwa chorus.
 Ngoma imefanyika Tongwe records chini ya utayarishaji wake J Rider + J Murder. Kama angelikuwa hai, bila shaka ungesikia sauti yake kwa ngoma hii kwani alishaambiwa kuhusu kufanya ngoma na wadogo zake na akakubali. Ila wao walipanga na Mungu akapanga, sio mwingine ni Albert Mangwea ambaye kama angekuwa hai leo hii ii ngoma ingekuwa na sauti yake. (R.i.p Mangwea)
 Dizain kama machiz wanazid kuifata kulekule mahali ilipo kwa pilika na kujituma xoxo Big Up kwao Central zone na piaaaa, hebu fanya kuwa miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kuisikiliza ngoma yao kwa hapo danta..! #LeeeggoooLoversFriendsAndFans
Katika ngoma ya mitikasi, Salmin el Pica$o alifanya outro moja hv na kusema "We came, we saw, we conquer" na ndivyo ambavyo leo hii Central zone wanafanya. Kwa picha ya danta wakiwa na Team nzima ya XXL iliyokuwepo tarehe 07 / 08 siku ambayo Mtoto wa Dom imeachiwa rasmi.

No comments

Powered by Blogger.