BRAND NEW VIDEO: YOUNG DEE FT. BEN POL - DO IT (OFFICIAL VIDEO)

It's another one kutoka kwa Young Dee hapa akimshirikisha Baba Sophia a.k.a Ben Pol kwa ngoma yake mpya ambayo kichupa chake ndo kama kimeachiwa muda si mrefu kwa mtandao baada ya kuonekana kwa TV stations mbalimbali jana na juzi. #LeeegggoooLoversFriendsAndFans

Ngoma inaitwa "DO IT" ya msanii Young Dee akimshirikisha Ben Pol huku kichupa kikiwa kimefanywa na Director Khalfan.

No comments

Powered by Blogger.