MAJINA YA WASHIRIKI WA TUZO ZA NYAMBAGO CENTRAL TANZANIA AWARDS 2015 YATANGAZWA RASMI
Watanzania ni vema wakipunguza kulalamika na kujaribu kufuatilia kiumakini na pia kupiga kura ili kumuwezesha msanii pendwa aweze kuondoka na Tuzo na sio lawama mitandaoni, lets grow up
Zile tuzo ambazo zipo katika awamu ya pili baada ya awamu ya kwanza kufanyika mwaka jana, zimerudi tena na mwaka huu zinajumuisha kanda ya kati kwa mikoa ya Singida, Morogoro na Dodoma.
Majina ya washiriki yameshatangazwa rasmi na unaweza kuyafahamu hapo kwa danta huku tukisubiri utaratibu wa kupiga kura kwa wasanii wetu kutoka kanda ya kati.
Tuzo zina vipengele 16 kama ambavyo zimeonyeshwa hapo danta..!
Leave a Comment