ANGALIA MOVIE ZILIZOTAFSIRIWA KISWAHILI KUPITIA SIKILIZA ONLINE PODCAST

Unaweza kutazama movie zilizotafsiriwa kiswahili kupitia podcast ya 'Sikiliza Online' ambayo inapatikana kwenye digital platforms zoooote ikiwemo YouTube na Spotify kwa uchambuzi wa movies mbalimbali zilizotafsiriwa kiswahili. Mojawapo ya movie ambazo unaweza kuitazama kupitia Sikiliza Online podcast ni pamoja na 'Heads of States' ambayo imetoka rasmi mwaka 2025.
 

No comments

Powered by Blogger.