MSANII WA MAREKANI "THA RIFT" AFANYA KIRIKUU REMIX NA MONI

Msanii kutoka nchini Marekani anayekwenda kwa jina la Tha Rift, amefanya #KirikuuRemix ambayo original ya nyimbo hiyo imefanywa na Moni wa...
...Centrozone katika studio za Tongwe records chini ya utayarishaji wake Geof Master "Manuva"
Msanii Tha Rift anatamba na ngoma zake kama "Living out my dream" ambayo kamshirikisha Futuristic na ngoma nyingine kibao..!! Tha Rift aliisikia #Kirikuu na akaipenda na kuomba kuifanyia remix. Baada ya kutumiwa beat akafanya yake na waweza kumsikiliza hapa kwa danta
Mojawapo kati ya ngoma za Tha Rift ambayo kaifanyia video ni pamoja na hii hapa kwa danta inayokwenda kwa jina "Living out my dreams"

No comments

Powered by Blogger.