MAMBO 17 USIYOYAFAHAMU KUHUSU KOREA KASKAZINI
1.Bangi ni
Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha.
2.Ndio nchi
pekee duniani hadi sasa amabayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani.
3.Wakati
dunia nzima leo ni 2016 kwao ni mwaka 105 wakihesabu kuanzia kifo cha kiongozi
wao Kim il-Sung
4.Kuanzia
2009 nchi hii sio ya kikomunist tena, wana msimamo au IDEOLOGY yaoo mpya
unaitwa " JUCHE" wakimaanisha "KUJITEGEMEA"
5.Ndio nchi
yenye uwanja mkubwa wa mpira kuliko yote dunia nzima, unabeba watu 150000
6.Miaka ya
50, walijenga mji fake (nice city) mpakani ili kuwavutia watu wahamie kutoka
south korea.
7.Kunyoa
Nywele, unaoption ya kuchagua kati ya style 28 zilizopitishwa kitaifa nje ya
hapo ni kosa kisheria.
8:Kwa miaka
60 iliyopita ni wakorea kaskazini 23,000 waliokimbilia Korea Kusini wakati ni
wakorea kusini wawili tu ndio wamerudi korea kaskazini.
9:Wakati
dunia nzima inatumia OS za Windows,LINUX au MAC OS etc , wao wanatumia ya kwao
inaitwa STAR OS
10:Kumiliki
BIBLIA,Kuangalia Movie au tamthilia za Korea kusini na kusambaza picha za
ngono adhabu ni kifo ukibainika.
11:Ni
wanajeshi na viongozi wa serikali tu ambao wanaruhusiwa kumiliki gari.
12:Ni
kinyume cha sheria kuvaa jeans korea kaskazini
13:Wanafanya
uchaguzi kila baada ya miaka mitano ila sanduku la kura ni moja tu na mgombea
ni mmoja.
14:Kuna
Shirika Linalotumia parachuti kuzipeleka BIBILIA nchini humo wakiomba angalau ziangukie
kwa mmoja aelewe neno.
15:Kulingana
na vitabu vya nchi hiyo Kiongozi wao Kim Jong Un alijifunza kuendesha gari
akiwa na miaka 3.
16: kama
umezaliwa tarehe 8 july au tarehe 17 december Huruhusiwi kusherekea Birthday
maana ni siku ambazo viongozi wao Kim Jong Il na Kim Il song walikufa.
17:
wanamiliki kikosi maalumu cha wanajeshi wanaakili sana/geneus kama jeshi la
kimtandao,Special cyber hackers, Unit 121 au Beaureu 121. Na inasemekana
wametuma baadhi yao zaidi ya askari hao 1200 nchi mbalimbali kwa mashambulizi
au cyber war. Ndio waliohusika katika Shambulizi la Kampuni ya SONY Klingana na
vyombo vya magharibi.
Leave a Comment