BRAND NEW VIDEO: GODZILLA - GET HIGH (OFFICIAL VIDEO)

Baada ya kutamba na ngoma kibao kama #Salasala, #LaKuchumpa na nyinginezo nyingi, hapa Godzilla a.k.a Zizzi ama King Zilla amekuja na kichupa cha ngoma #GetHigh ambacho yeye pia ameshiriki ku direct hilo chupa.. mtaa umeshaipa ngoma maksi kibao xoxo ni zamu yako wewe kukichek kichupa kwa danta na kumpa Godzilla maksi zake kwa jinsi ulivyokiona kichupa..!!
Audio imefanywa na Pancho LaTino huku kichupa kikifanywa na Shine video production.. fanya kukidere hapo kwa danta mtu wangu

No comments

Powered by Blogger.