Mojawapo kati ya collaboration song za ali kiba zilizokuwa zinasubiriwa kwa hamu ni pamoja na hii hapa aliyoshirikishwa na Sauti Sol kutoka Kenya katika ngom ainayokwenda kwa jina la Unconditionally Bae. Video imefanywa na ma director wawili, Justin Campos wa South Africa na Enos Olik wa Kenya. Wakati ukiendelea kusubiria Ali Kiba x Neyo.. Take a chill and watch'out the video "Unconditionally Bae" ya Sauti sol ft Ali Kiba kwa danta.
LISTEN TO SAMSARA BY MR NIC
-
Mr. Nic is a new era indie British artist from Manchester with a history of
extensive international radio play (BBC, RRI, WKRB). His debut album was
relea...
MR NIC RELEASES ANTICIPATED NEW SINGLE "SAMSARA"
-
Mr. Nic is a new era indie British artist from Manchester with a history of
extensive international radio play (BBC, RRI, WKRB). His debut album was
relea...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Leave a Comment