MUONE WEMA SEPETU AKIIMBA NYIMBO ALIYOSHIRIKISHWA DIAMOND PLATNUMZ

Wakati Idris anazidi kulazimisha umma kuwa bado hajapigwa kibuti, huku madame Wema anatoa yake ya moyoni kwenye instagram party iliyofanyika Mwanza kwa...
kuimba nyimbo ya Harmonize aliyomshirikisha Diamond Platnumz. Hebu mchek Wema Sepetu akiimba "Bado" aliyoshirikishwa Diamond Platnumz ndani. Wewe unahisi kuna nini hapa kati?? Ndo mahaba niue au skendo ingine madame ataka leta??

No comments

Powered by Blogger.