DODOMA - BEACH DUME ALBUM YAACHIWA RASMI || DOWNLOAD MP3 || DOWNLOAD ALBUM ||

 
Ilikuwa ni tarehe 29 mwezi wa 04 siku ambayo online album ya wasanii kutoka Dodoma iliachiwa rasmi mtandaoni baada ya kuahirishwa kutoka tarehe 22 mwezi wa 04 kutokana na matatizo ya kimtandao. Pamoja na kuchelewa kutoka lakini album hiyo imesheheni mangoma nyoso kutoka kwa wasanii wa mkoani Dodoma ambao wanaiwakilisha vyema tasnia hiyo baada ya kufariki kwa Albert Mangwea ambaye ni kama nembo ya muziki wa Dodoma akiitambulisha Chamber Squad East Zoo to the fullest. Take your time and listen | free download Dodoma - Beach Dume album kwa danta mtu wangu

No comments

Powered by Blogger.