NJOO UMUONE BEYONCE KABEBA KIKAPU NA MTOTO WAKE BLUE IVY KAVAA KITENGE

Hii ni mahsusi kwa wale wanaojitia wazungu saana na kuhisi uswahili ama uafrika hauna maana.


Wakiwa katika world tour ya kuitangaza album mpya ya Beyonce inayokwenda kwa jina la "Lemonade", Jay Z na mkewe Beyonce kwa pamoja na mwanao Blue Ivy walionekana Hawaii kwa mapumziko wakiwa kiafrika zaidi.. Hebu fanya kuwadere kwa danta halafu upunguze madharau na uAfrika wetu

Leave a Comment