RAP NATION FT AINEA - SHUSHURA | DOWNLOAD MP3 | BLACKMUTU BLOG
It's another one kutoka kwa Rap Nation hapa nikiwa nawaongelea Rap Nation wakishirikiana kwa uzuri kabisa na Ainea katika moja ya ngoma kaaali inayokwenda kwa jina la Shushura..!!
Kama haufahamu nini maana ya #Shushura hebu fanya kuisikiliza hii ngoma then ufahamishwe nini maana yake na Rap Nation ft Ainea, ukiona huelewi elewi fanya kuipakua kabisa HAPA ili uisikilize tena na tena ama kama vipi uipakue kabisa coz ni ngoma kaaali. #LeegggooooLoversFriendsAndFans
Leave a Comment