Hii ni mojawapo ya interviews ambazo marehemu Tupac Shakur aliwahi kuzifanya na hazikupata kurushwa on air even once na kupata ku "leak" kwenye mitandao baada ya kifo chake mwaka 1996 Las Vegas. Ni kama 2 pac amewatahadhalisha wamarekani kuhusu mgombea wao wa urais kwa msimu ujao nchini Marekani endapo watamchagua kuongoza nchi.
Tupac Shakur passionately explains his views on generosity and responsibility, traits he feels some people with extreme wealth like Donald Trump lack, in this MTV News clip from 1992.
DOWNLOAD MATOKEO MOBILE APP Katibu Mtendaji wa Necta , Dk Charles Msonde amesema watahiniwa 662,035 kati ya 909,950 waliofanya mtihani...
Facebook
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Geita
-
Geita TAMISEMI Form five Selection | Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga
kidato cha Tano Geita. The TAMISEMI Form Five Selection is a crucial
milestone in...
Leave a Comment