MAGOLI KUMI (10) YA KUJIFUNGA YENYE KUCHEKESHA NA KUFURAHISHA ZAIDI

Mpira wa miguu ni mchezo ambao una mashabiki wengi zaidi duniani kuliko mchezo mwingine wowote. Katika mpira mengi hutokea na miongoni mwa vitu vya kufurahisha mashabiki na kuchukiza mashabiki wa timu husika ni pale
mchezaji anapojifunga goli. Hii inakera na kwa baadhi ya nchi unaweza uliwa kwa kosa la mchezoni kama ambavyo ilitokea miaka ya nyuma kwa mchezaji wa Colombia. Ifuatayo ni listi ya magoli kumi ambayo wachezaji kujifunga.

No comments

Powered by Blogger.