VIDEO: ALI KIBA AMLAUMU MENEJA WA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA CHRIS BROWN KUKATISHA SHOW YAKE

Ali Kiba Aweka Wazi Kilichosababisha Akatize Show Yake, Pia Asema Haelewi Mbona Meneja Wa Diamond, Sallam Alikuwa Backstage Wakati Akiperform..!!
Hii inashangaza kidogo, sio kauli ambayo msanii kama Ali Kiba anaweza sema hadharani wakati waandaaji ndiyo hasa watu wa kulaumiwa. 

Nadhani management yake inatakiwa kumfundisha nini cha kuongea na nini cha kutoongea kwani maandiko yanasema maneno huumba, hebu msikilize Ali 

No comments

Powered by Blogger.