NJIA RAHISI ZAIDI YA KUPATA MATOKEO YA KIDATO CHA 4 NA KIDATO CHA 6 HII HAPA

Zamani ili kupata matokeo ya mtoto wa darasa la saba ni lazima uende manispaa au shuleni kwao lakini siku hizi mtandao unazidi kurahisisha mambo na unaweza kupata matokeo ya kidato cha IV na kidato cha VI ukiwa sebuleni kwako umekaa ama hata ukiwa kwenye daladala. Cha msingi ni kuipakua mobile application inayofahamika kwa jina la "MATOKEO" kwenye playstore
na kisha install kwenye smartphone yako. Pindi matokeo yanapotangazwa na kuwekwa kwenye mtandaoni utapata ujumbe "notification" kukujuza kuwa matokeo yameshatoka hivyo utakuwa miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kuyapata kupitia mobile application hii ambayo imetengenezwa na kampuni ya kitanzania inayofahamika kwa jina la BlackMutu Vision.

DOWNLOAD MATOKEO APP
Hiiyo ni njia ya kwanza, njia ya pili ni kwa wale ambao hawana smartphone. Hii ni ile ya kutuma namba ya mwanafunzi kwenda kwenye namba tajwa (mfano: 155XXX) na kisha utatumiwa matokeo yako husika. 

DOWNLOAD MATOKEO APP
Tofauti ya njia hizo mbili ni kwamba ile ya kwanza ni BUREEE na hii ya pili ni lazima pesa kiasi fulani itakatwa kwenye simu yako. Uamuzi ni wako  

No comments

Powered by Blogger.