R2BEES FT WIZKID - TONIGHT (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Kutoka Ghana wanatambulika kama R2bees katika ushirikiano wa kutosha na Wizkid kutoka Nigeria katika ngoma inayokwenda kwa jina 'Tonight'. R2bees
wapo chini ya management ya Wizkid. Video imefanya na director Sesan Ogunro wakati audio imefanywa na Legendurybeatz, producer wa Wizkid aliyefanya ngoma ya Ojuelegba iliyobadilisha maisha ya Wizkid

No comments

Powered by Blogger.