KIMENUKA BUNGENI: WABUNGE WAMSHAMBULIA MAKONDA

Wakati sakata la madawa ya kulevya likiendelea kwa kasi, wabunge wamshambulia Mh Makonda kutokana na njia anayotumia kuita watuhumiwa wa madawa ya kulevya kupitia vyombo vya habari, na kumshinikiza aende bungeni kutoa maelezo. Leo hii Mh Makonda amejibu kuwa...

Hawezi kufika bungeni kutoa maelezo bila ya kuwepo na barua ya kumtaka kufanya hivyo, unaweza tazama zaidi jinsi wabunge walivyomshambulia mkuu wa mkoa wa Dar es salaama kwa maneno bungeni hapa chini kwa video

No comments

Powered by Blogger.