NJIA RAHISI YA KUANGALIA CHANNELS MBALIMBALI KWENYE COMPUTER KWA KUTUMIA VLC MEDIA PLAYER
Njia hii inatumia low bandwith na unaweza ku stream HD tv hata kwa net ya 256kbs. Kwa leo nitaanza kwa kuwawekeeni channels 4 tuu.
Chakufanya:
1. Install vlc media player kwenye pc yako au kama tayari unayo, hakuna haja ya kuinstall tena.
2. Download magnetic codes line niliyoiweka kwenye attachment na u save kwenye pc yako. Kisha right-click uifungue kwa kutumia VLC.
Hapo utaweza kutizama hizo channels nne bila kupitia njia complicated.
***
Kwa wenye wenye pc zenye windows na simu za android nenda link hii kudownload acestream, player ya torrent
au kwa android unaweza kwenda playstore ipo.
Ukishadownload utahitaji links za tv za torrent ambazo huwa mfumo huu
acestream://8109c41fb27e724521668f76557a6081042898c8
links
kupata links za acestream search online kwa wale wa mpira utapata link kwenye site hii
muda wa mechi ndio zinaonekana
jinsi ya kupaste link watu wa windows
utafungua aceplayer yako halafu juu kushoto click media halafu chagua open network stream halafu paste link yako uplay
kwa watu wa android
watu wa android unaweza usifuate kitu chochote nilichoandika juu kuna app nzuri yenye chanell zaidi ya 600 ya torrent fuata njia hizi kuipata
1. nenda website hii halafu bonyeza alama ya download kuna app utaidownload.
Leave a Comment