TOP 5 MOST VIEWED VIDEOS ON YOUTUBE


Kupata million views kwa Youtube huku kwetu imekuwa ni big deal, thats allright coz mapinduzi ya muziki mtaoni yamefanyika hivi karibuni. Huko kwa
wenzetu wao videos zao kupata 100 million views sio kitu kikubwa sana ila endapo tuu utazipata hizo million 100 mara 10 ambapo utakuwa umefikisha 1 billion views kama ambavyo hizi video 5 zimefanya, mpaka mwaka jana (2016)

No comments

Powered by Blogger.