ALI KIBA AMKANA JOKATE MBELE YA MAMA YAKE

Hii ni kali kuliko zote kwa mwezi huu wa tatu aisee, jaribu kuvaa viatu vya Jokate muda huu utaweza kujua nini namaanisha. Kitendo alichofanyiwa na Ali Kiba na mama yake ni cha kufedhehesha na kusikitisha
kupita maelezo. Kukanwa na mpenzi uliyekuwa ukiitangazia dunia kuwa upo naye kisha yeye anakukana mbele ya watu sio jambo dogo kama ambavyo unaweza ukadhani. Hebu angalia video hapo chini uone kibuti cha mama na mwana kwa Jokate Mwegelo

No comments

Powered by Blogger.