REMY MA - ANOTHER ONE / SHETHER (NICKI MINAJ DISS TRACKS)

Baada ya kutoa ngoma ya Shether, Remy Ma ameona haitoshi na kuamua kuachia diss track nyingine ambayo imemlenga Nicki Minaj. Ngoma hiyo
inaitwa Another One ambayo ni diss kwa Nicki Minaj ambaye hivi karibyuni alikuwa na mpango wa kuingia studio na kujibu mashambulizi kutoka kwa Remy Ma. Take your time and listen to the songs below
NICKI MINAJ Vs REMY MA

Wakati tukiendelea kusubiri ngoma ya Nicki Minaj, hebu tuambie unahisi nani ni mkali zaidi ya mwenzake katika hili bifu ambalo Remy Ma kalianzisha?!

No comments

Powered by Blogger.