GIFTEDSON & QUEEN FIFI - SHIIDA | DOWNLOAD EP

Kabla ya yote ningependa ufahamu nini maana ya EP. Kirefu cha EP ni Extended Play ambayo ni mkusanyiko wa nyimbo zisizozidi dakika 25 au nyimbo 5 ambazo hazijafikia idadi ya kuwa album kamili. Kwa mara ya kwanza kutoka yalipo makao makuu ya Tanzania, napazungumzia Dodoma. 
Msanii anayefahamika kwa jina la GiftedSon akishirikiana na Queen Fifi kwa pamoja wamekuletea Extended Play inayofahamika kwa jina la SHIIDA ambayo imetayarishwa na Biorn Entertainment chini ya maproducer Bin LAden na Stunner. Kwa EP hiyo wamepata shirikishwa wasanii kama Wakazi, Haidary Scoda, Nappy na One Six. Unaweza kuisikiliza na kuipakua hapo danta

No comments

Powered by Blogger.