NAY WA MITEGO - WAPO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Nay wa mitego ambaye kwa sasa anapenda pale unapomuita "Mr Nay" amekuletea video ya wimbo wake ulioleta utata hadi kusababisha akakaa polisi kwa muda baada ya kuutoa akiwakashifu baadhi ya viongozi ambao
inasemekana wamefoji vyeti. Wimbo huo unaitwa "WAPO" na umekuwa maarufu sana baada ya kukamatwa kwa Nay hali iliyofanya apate airtime ya bure kwenye vituo vikubwa vya habari kama BBC Swahili na VOA. Hebu fanya jutazama video ya wimbo "WAPO" uliofanywa na Nay wa Mitego a.k.a Mr Nay

No comments

Powered by Blogger.