DJ KHALED FT. RIHANNA & BRYSON TILLER - WILD THOUGHTS (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Baada ya kuachia ngoma mbili kaaaaaali ikiwemo I'm The One aliyowashirikisha Justin Bierber, Quavo, Chance The Rapper na Lil Wayne na ngoma ingine To The Max aliyomshirikisha Drake, kwa sasa Dj Khaled
ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Wild Thoughts aliyomshirikisha Rihanna na Bryson Tiller. Ngoma hizo zote zitakuwepo kwenye album yake inayokwenda kwa jina la Grateful. Stay tuned coz ikitoka tuu utaipata hapa hapa tena bureee

No comments

Powered by Blogger.