SIKILIZA "EP" YA MSANII ANDRE K INAYOKWENDA KWA JINA LA ELIMU YA JUU
EP hii imebeba nyimbo nne zikiwa zimejikita katika Elimu ya Juu (Chuo Kikuu). Nyimbo hizi zinazotoa picha halisi ya maisha ya vyuoni.
EP hii ni mwongozo kwa watu wanaotaraji kwenda vyuoni, muongozo kwa waliopo chuoni pia ni mwalimu kwa watu wengine ambao hawapo chuoni kwa kuwa watajifunza kwa kiasi kikubwa maisha yaliyopo vyuoni.
Leave a Comment