DAVIDO FT. YOUNG THUG & RAE SREMMURD - PERE (OFFICIAL MUSIC VIDEO) | DOWNLOAD MP3

Msanii Davido kutoka Nigeria ameachia video ya ngoma yake "PERE" aliyowashirikisha wasanii Young Thug na Rae Sremmurd kutoka nchini

Marekani. Take your time and watch out the video below na pia you can download audio version of the song kwa danta mtu wangu.

Video hii imetoka ikiwa ni wiki mbili zimepita tangu mpinzani wake mkubwa kimuziki Wizkid akiwa ameachia album inayokwenda kwa jina la Sounds from the other side tarehe 14 July kupitia itunes

No comments

Powered by Blogger.