MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA DARASA LA NNE NA DARASA LA SABA

Umuhimu wa teknolojia unazidi kuongezeka siku hadi siku. Miaka ya nyuma kidogo ili kupata matokeo ya mtihani wa taifa wa darasa la nne au hata mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (darasa la saba) ilikuwa ni mpaka majina yabandikwe manispaa ama shuleni kwa wanafunzi lakini kwa sasa unaweza kupata matokeo ya mtihani wa darasa la nne na darasa la saba ukiwa nyumbani umekaa na mwanao...
Unapataje hayo matokeo?

> Ni rahisi, ingia play store kupitia simu yako ya mkononi kisha andika "Matokeo" au "darasa la nne" au kama ni ya dara la saba andika 
"darasa la saba" kisha bofya "search" au "tafuta"
> Zitakuja mobile applications za MATOKEO - darasa la nne na darasa la saba
> Ipakue (download) kisha install kwenye simu yako uweze kupata matokeo ya darasa la nne na saba kiurahisi na haraka zaidi. Kumbuka mobile app ya matokeo ni buree kabisa.

Unaweza kupakua mobile application za MATOKEO kama ifuatavyo:





No comments

Powered by Blogger.