MSANII MWINGINE WA TANZANIA AFANYA KOLABO NA M'NIGERIA

Baada ya kimya kirefu, rais wa Akonshaz Music anayefahamika kwa jina la Cascos a.k.a BlackMutu ametangaza ujio mpya wa msanii wake Vesta ambaye hivi karibuni ataachia ngoma inayokwenda kwa jina la Mbele Kwa Mbele akiwa kamshirikisha msanii Airboy kutoka nchini Nigeria. Wiki iliyopita msanii

Diamond Platnumz aliachia "Fire" ngoma na Tiwa Savage ambaye ni msanii wa Nigeria na wiki ijayo Akonshaz Music wanaachia ngoma ambayo msanii kutoka Nigeria "Airboy" ameshirikishwa ndani yake. Najua uneshaizikiliza ya Mondi xoxo fanya kuisubiri #MbeleKwaMbele ya Vesta ft. Airboy halafu tuambie ipi kati ya ngoma hizo mbili ni kali.Mojawapo ya nyimbo ambazo Airboy kutoka nchini Nigeria ameifanya ni pamoja na hii hapa danta..

No comments

Powered by Blogger.