ASLAY - LIKIZO (OFFICIAL MUSIC VIDEO) | DOWNLOAD MP3

Msanii Aslay ambaye alikuwa ni miongoni mwa wasanii wanaounda kundi la Yamoto Band bado yupo katika muendelezo wa kutoa video za nyimbo yake kila baada ya muda mfupi. Hii inaonyesha ni kiasi gani Aslay alivyokuwa na hamu ya kufanya muziki kama solo artist kitu ambacho Mkubwa Fella 

amelifikiria na kuwaacha Yamoto Band wafanye muziki kama solo artist. Muda si mrefu Aslay ameachia video ya ngoma yake mpya kabisa inayofahamika kwa jina la "Likizo" ambayo unaweza kuitazama na kuipakua kwa danta

No comments

Powered by Blogger.