HII NDIYO FAMILIA TAJIRI ZAIDI NCHINI TANZANIA

Inawezekana ikawa unawajua matajiri wengi sana nchini Tanzania, lakini wote hawafikii utajiri wa hii familia moja ambayo ina utajiri wa kutisha. Sio GSM wa Katoro ambaye alimuozesha binti yake huku kamati ikitoa zawadi ya bilioni moja na milioni nne huku yeye mwenyewe akiwasindikiza na dolla elfu 10 ($ 10000) ambazo ni sawa na millioni 26 za kitanzania, hapana sio yeye. Angalia video hapo chini kufahamu familia tajiri zaidi nchini Tanzania.

No comments

Powered by Blogger.