D'BANJ - EL CHAPO FT. GUCCI MANE, WANDE COAL (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Msanii D'Banj amekuletea video ya nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la 'El Chapo'. Kama unakumbukumbu nzuri bila shaka utakuwa unafamfahamu El Chapo kama muuza madawa ya kulevya "drug dealer" maarufu zaidi kwa muda huu. Alishawahi kutoka jela mara mbili. Hapa D'Banj amewashirikisha wasanii Gucci Mane na Wande Coal kutoka Nigeria
Leave a Comment