JAY Z - MOONLIGHT (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Msanii Jay Z kutoka nchini Marekani ameachia video ya ngoma yake Moonlight ambayo inapatikana kwenye album yake aliyoitoa June 30, inayofahamika kwa jina la 4:44. Video hii ya Moonlight ni kama video nyingine za Jay Z ambazo amekuwa akiziachia kutoka katika album yake, video ambazo kama hauna uwezo mkubwa wa kufikiri unaweza usielewe ama kuelewa nini anamaanisha
Follow JAY-Z:
Facebook: https://www.facebook.com/JayZ
Twitter: https://twitter.com/s_c_

Directed by Alan Yang
Music video by JAY-Z performing Moonlight. (C) 2017 S. Carter Enterprises, LLC. Marketed by Roc Nation & Distributed by Roc Nation/UMG Recordings, Inc.
Leave a Comment