MONI CENTROZONE - MATANGO PORI FT. BARAKA DA PRINCE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Baada ya kufanya vizuri kwa ngoma yake ya kwanza "Tunaishi Nao" kutoka tangu alivyotekwa na watu wasiofahamika, msanii Moni Centrozone ameachia video ya ngoma yake mpya aliyomshirikisha Baraka Da Prince "Matango Pori".
Audio ya nyimbo hiyo imefanya na Pancho Latino ndani ya studio za B'Hits huku video ikiwa imeongozwa na muongozaji Lucca Swahili. Take your time and watch out the video below mtu wangu wa nguvu.
Kama hukupata nafasi ya kuitazama video za Moni "Usimsahau Mchizi", "Tunaishi Nao" na "Sembe Dona" unaweza kuzitazama hapa kwa danta mtu wangu. Usisahau tuu kupakua mobile application ya BlackMutu kupitia Play store ili uwe miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kupata habari zote kali

Pia unaweza kuipakua mobile app ya Moni Centrozone kupitia paly store ili uweze tazama video zake zoote pamoja na shows, behind the scenes na interviews alizofanya radio na tv station mbalimbali.
DOWNLOAD 
MONI CENTROZONE MOBILE APP


No comments

Powered by Blogger.