RAIS MAGUFULI AWAPATANISHA RUGE WA CLOUDS MEDIA GROUP NA PAUL MAKONDA


Rais Magufuli akihutubia mubashara kutoka Tanga, amemuita Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba na kumsifia na badae kumuita Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda na kuwataka wapatane. 
Rais amewasifu wote kuwa ni vijana wachapa kazi na kuwataka wapatane na wachape kazi kwa ushirikiano.
Nataka mambo yenyu ninyi wawili yaishe, nataka mfanye kazi kwa ajili ya Tanzania. Nampongeza Ruge kwa nyimbo nzuri na Mungu awabariki sanaalisema Rais Magufuli.


Maswali ya kujiuliza!!
Je, unadhani hii mbinu aliyotumia Rais Magufuli itafanikiwa kuwapatanisha?
Je, ndo mwisho wa vyombo vya habari kususia habari za Makonda?
Je, Clouds Media Group watavunja makubaliano ya TEF?


Chanzo: JamiiForums
Mwandishi: Chachu Ombara

No comments

Powered by Blogger.