ROMA - ZIMBABWE (OFFICIAL MUSIC VIDEO) | DOWNLOAD MP3

Msanii wa hip hop Bongo, Roma ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Zimbabwe’ ambayo imeongozwa na Nicklass, audio amefanya Bin Laden ndani ya studio za Tongwe Records. Watch out the video below
Leave a Comment