WIMBO ULIOTAZAMWA ZAIDI DUNIANI KUPITIA MTANDAO WA YOUTUBE HUU HAPA

Luis Fonsi na Daddy Yankee wimbo wao wa Despacito umeweka record ya kuwa wimbo wa kwanza kutazamwa zaidi Youtube kwa kupata viewers bilioni 3 (duniani makadirio tupo billioni 7). Kwa kupitia viewers hao hii inafanya unakua wimbo wa kwanza kufikisha views billioni 3 na wimbo uliotazamwa zaidi kwenye historia ya binadamu...
Wimbo uliokua umeshikiria record ya kutazamwa zaidi ulikua wimbo wa Wiz Khalifa aliomshirikisha Charlie Puth’s uitwao See You Again uliokua na viewers 2,998,297,290. Na mwanamuziki ambae ameusaidia wimbo huu kujulikana zaidi akiwa ni mwanamuziki Justin bieber ingawa yeye alishirikishwa kwenye remix ya wimbo huo.

List ya video 10 zilizotazamwa zaidi YouTube mpaka August 2017:

10. Roar - Katy Perry
9. Sugar - MAroon 5
8. Bailando - Enrique Iglesias ft. Descemer Bueno and Gente De Zona
7. Shake it Off - Taylor Swift
5. Uptown Funk - Mark Ronson featuring Bruno Mars (2.594 bill)
4. Sorry - Justin Bieber (2.701 bill)
3. Gangnam Style - Psy (2.922 bill)
2. See You Again - Wiz Khalifa featuring Charlie Puth (3.005 bill)
1. Despacito - Luis Fonsi featuring Daddy Yankee (3.066 bill)

No comments

Powered by Blogger.