FAIDA ZA KUTUNZA BIKRA
Wanawake wengi siku hizi hawajali tupu zao, unakuta mwanamke anagawa tu yaani utadhan sio yake vile kwanini imsisubiri muolewe muwape waume zenu. Sijui ni nyege au tama ya pesa lakini kusema kwel hii ni too much. Unakuta mwanamke kashalalwa na wanaume kama 7 hadi 10 kabla ya ndoa.
NB:huo ni wastani,so kuna waozidisha hapo) hao wanaume 7 alolalwa nao sio kma kila mmoja kaonja mara moja, kwa kifupi huwezi jua idadi kila mmoja kala mara ngapi, alaf siku unaolewa unategemea ndoa ya amani Like seriously? Mtoto tangia form 1 yeye anachezeshwa mechi tuu,hadi anafika chuo. Akija kuolewa ata ile ladha ya tendo haisikii tena maana ishapanuka sna tayar na imekomaa,either ways umuhimu wa kutunza bikra ni kama ifuatavyo
1. Ni fahari kwa mmeo mmeo atakua proud na wewe sana endapo atakukuta bikra.
2. Utakua umetunza heshima ya familia yako,kwani itaonekana wamefaulu katika suala la kukutunza.
3. Ndoa yako itakua na amani kwani hutokuja kuhisi kuwa mmeo hapigi mechi inavyostahili.. endapo utakua ushaonja miwa ya wanaume wengi ndipo utakuja kuona mmeo ana kasoro,ila kama yeye ndio atakua wa mwanzo kukupa dudu yake basi utajua kama wanaume wote wapo vile so hutochepuka.
4. Utamtia hamasa kubwa mmeo asichepuke,maana akikuta tayar umeshachezewa na vijana wa mtaani kwenu hatoona tabu nae kuonja wa mtaani kwake.
5. Utakua ni mwenywe furaha daima maana hutokua na stress za ajabu utaishi maisha ya amani sina.
6. Utakuwa umefaulu mtihani wa Mungu kwani Mungu kakemea kuzini.
7. Kila mwanamme atatamani uwe mke wake wanawake wengi siku hizi wanabakia hawaolewi cause ya mambo hya hya.
8. For several reasons, ndio yake ina chansi kubwa ya ku last longer,yaani ndoa ya milele watu wanalalamika talaka nyingi siku hizi, je mnazijua sababu zinachongia.Tafakari.
9. Saikolojia inakubali kuwa utalolifanya leo litabebwa na vizazi vyako,ukiwa ni mchapa kazi basi kuna probability kubwa kuwa wanao nao watakua wachapa kazi na ukiwa kigawa uroda usije kuwalaumu wanao baadae.
10. Yote tisa, kumi ni kwamba wewe binafsi utakua na faraja kubwa sana moyoni mwako kuona kipenzi chako cha maisha mmeo utaezaa watoto nae hadi mzeeke ndio anakutoa hyo bikra, niamini dada angu,au atleast Amini Mungu kuwa hakuna best feeling duniani kama hiyo,wachache sana huipata cause wachache huolewa wakiwa wamejitunza.
Ushauri kwa dada zangu: Endapo mpenzi wako atakua anakung'ang'aniza mzini kabla ya ndoa huyo hana mpango na wewe niamini mtu mwenye nia ya kuoa hawezi kushindwa kukusubiria,walaghai wengi sina amkeni, you all still have a bright future, natumai mtakua mmenielewa...!!
Leave a Comment