HARD DISK YA 5 MB KWA MIAKA HIYO

Teknolojia inazidi kukua siku hadi siku, mfano: tazama hard drive ya 5 mb baada ya kugunduliwa mwaka 1953 na kuzinduliwa mwaka 1956. Leo hii sio kitu cha ajabu kuona simu ina internal memory ya 52 Gb au zaidi...!

Picha ya chini inaonyesha tofauti ya ukubwa kati ya 5 MB
ya mwaka 1956 na 128 GB ya 2017.

Leave a Comment