JIPATIE MOBILE APP YA BLOG / WEBSITE YAKO BURE KABISA


Ukuaji wa teknolojia unazidi kurahisisha kazi na kukuza sekta nyingi nchini kwa mfano; sekta ya mawasiliano na uchukuzi imerahisishwa kutokana na uwepo wa simu na magari vitu ambazo miaka ya nyuma havikuwa vikitumika kwa wingi.

Changamoto katika utafutaji na upatikanaji wa habari kwa kiasi fulani zimetatuliwa na ukuaji wa teknolojia, ijapokuwa utatuzi huo umeongeza tatizo la ajira kwani kazi ya watu 10 kwa sasa inaweza kufanywa na watu wa3 kwa kutumia mashine.



Hivyo basi, kwa kutambua changamoto zinazopatikana katika usambazaji wa habari / taarifa kwa watu mbalimbali, BlackMutu Apps wametoa OFFER!! OFFER!! OFFER!! ya kutengeneza mobile apps kwa wamiliki wa website na blogs nchini Tanzania BUREEE KABISA. Faida ambazo mmiliki wa blog / website atapata kutokana na kumiliki mobile app ni pamoja na:


1. Kuwa tofauti
Sio kila website / blog inapatikana kwenye play store.

2. Kupatikana kwa urahisi zaidi
Apps za play store hutokea page ya kwanza pale mtu anapo'google kitu.
3. Kutembelewa na watu wengi zaidi
- Play store ipo linked kwa search console, kwa hiyo utapata kutembelewa na watu
wanaotumia computers na pia mobile devices (smartphone au iPad). Hii ni kutokana na
watumiaji wengi wa smartphone wanapenda shortcut ya kupata taarifa, links are useful.

4. Kujulisha wasomaji habari mpya inapowekwa
- Pindi mmiliki / mwandishi anapoweka habari mpya kwenye web / blog yake, notification
itakwenda kwenye simu ya mtu aliyedownload app na kumjulisha kuwa kwenye web / blog
kuna habari mpya.

5. Kupata pesa
- Wote tunafahamu kama Ads zinalipa. Unapokuwa na mobile app itakusaidia kuonyesha ads
zako ambazo kila mwisho wa mwezi utalipwa na Google Adsense au Ad provider yeyote. 

Kwa yeyote mwenye uhitaji awasiliane nasi kwa namba 0759 688 859

NB: Matengenezo ni buree kabisa, utachangia $ 15 tuu kwa ajili ya kuiweka play store.

Unaweza kuangalia mifano ya App tulizotengeneza HAPA





4. Mc Pilipili

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.