KITU USICHOFAHAMU KUHUSU IRENE UWOYA

Inawezekana kabisa unamfahamu Wolper lakini haufahamu kitu kimoja kikubwa kutoka kwake. Kitu hicho ni kuhusiana na mapenzi ambapo Uwoya kwa maneno yake kupitia instagram aliweka wazi kuwa hawapendi wanaume wenye sura nzuri. Eee eeh! kwa kifupi kasema hapendi ma'handsome boy coz wengi wao hawajui kukuna kunako kitanda.
Leave a Comment