MFAHAMU MWANAMKE ALIYEKAA NJE YA DUNIA KWA MUDA MREFU ZAIDI YA WANAWAKE WOTE DUNIANI
Mwanaanga, Peggy Whitson amerejea duniani baada ya kuwa nje ya sayari hii kwa siku 228 kwa misheni 1 na 665 kwa jumla. Anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa nje ya dunia kwa muda mrefu na pia ameweka rekodi kwa kuongoza kukaa nje ya dunia kwa Wamarekani(wake kwa waume).
Miongoni mwa waliorudi na Peggy kutoka ktk chombo hiko ni Fyodor Yurchikhin ambaye kwa sasa anashikilia namba 7 ktk rekodi ya dunia ya kukaa nje ya sayari hii (siku 673) akifuatiwa na Peggy na orodha hiyo ikiongozwa na Mrusi Gennady Padalka aliyekaa jumla ya siku 879 nje ya dunia ktk safari 5.
Mfahamu Peggy Whitson, kwa ufupi:
Peggy Annette Whitson is an American biochemistry researcher, NASA astronaut, and former NASA Chief Astronaut. Her first space mission was in 2002, with an extended stay aboard the International Space Station as a member of Expedition 5.
Read more via. Wikipedia
Leave a Comment