Wakati kampeni za kumchangia Tundu Lissu zikiendelea, hivi majuzi mbunge wa Mbeya mjini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi almaarufu kama Mr II "Sugu" alitumia njia ya tofauti kidogo katika kufikisha maombi yake kwa Mungu kupitia kwa marehemu ambaye alikuwa Diwani huko Mbeya. Sugu alitumia nafasi hiyo kumwambia marehemu akamwombee Tundu Lissu kwa Mungu kupitia malaika ili aweze kupona mapema. Msikilize hapa chini.
LISTEN TO SAMSARA BY MR NIC
-
Mr. Nic is a new era indie British artist from Manchester with a history of
extensive international radio play (BBC, RRI, WKRB). His debut album was
relea...
MR NIC RELEASES ANTICIPATED NEW SINGLE "SAMSARA"
-
Mr. Nic is a new era indie British artist from Manchester with a history of
extensive international radio play (BBC, RRI, WKRB). His debut album was
relea...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
Leave a Comment