JINSI YA KU'DOWNLOAD YOUTUBE VIDEOS BILA KUTUMIA APPLICATION YOYOTE
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhUC0O_urfj6K9zq_4eVcA6Nw6ZV7-65GfQkm1RLAThYmz9WVn27H_tTtty1yCtKeFJsK4MNPuqX3D8IOrnCHBIG_zqHhbePcTUrcn90VCjSkhMvsZjq9_WRTRrgVgagl_bG2gIVDdaZaw/s640/learn-how-to-download-your-favorite-video-from-YouTube.jpg)
Je We we Ni Mmoja Wa Wanaotumia Application Ku download YouTube & Instagram Video? Kama Jibu Ni Ndio Basi Ifuatayo Ni Njia Mbadala Ya Kupakua Video Za YouTube.
MAHITAJI
-SmartPhone
-Mbs
-App Ya YouTube & Instagram
-App Ya Google Chrome / OperaMini.
YouTube
- Nenda Kwenye Hiyo Video Kisha Bofya SHARE
- Bofya COPY LINK
- Ingia GOOGLE CHROME / OPERA MINI, nenda sehemu ya kuandika Url, Kisha andika (savefrom.net) bila mabano
- Paste Link Uliyoi-copy, Palipoandikwa ENTER THE URL
- Chagua Format Uitakayo (Mfano Mp4)
- Bofya Download
UKIMALIZA KU DOWNLOAD, VIDEO YAKO UTAIKUTA KWENYE GALLERY
Leave a Comment